Thursday, September 29, 2016

EREVUKA KUHUSU KIMONDO KIKUBWA

Kimondo (Astreroid) au jiwe kubwa hatari kwa dunia yetu  NASA inatuma chombo kuchunguza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo huenda likahatarisha Sayari ya dunia mwaka 2135. Jiwe hilo limepewa jina la BENNU lina ukubwa wa kipenyo cha mita 500 yaani urefu wa viwanja vitano vya mpira, endapo litaigonga dunia mlipuko wake ni sawa na tani bilioni tatu za milipuko au sawa na mabomu 200 ya hiroshima.

Tuesday, September 27, 2016

AFYA

Asali na mdalasini ni tiba ya asili kwa magonjwa mengi ikiwemo kuponya ugumba, kuongeza kinga ya mwili mara tatu zaidi na kupunguza uzito Pia huondoa kukatika kwa nywele na shinikizo la damu....ukihitaji ASALI HALISI piga au tuma sms-> 0716784460

Monday, September 26, 2016

UMUHIMU WA NYUKI

Kama nyuki wakipotea duniani basi binadamu watabakiwa na miaka minne tuu ya kuishi..asema mwanasayansi "ALBERT EINSTEIN".

UTUMISHI HEWA

Serikali kutumia mfumo wa kielektroniki kuhakiki watumishi wa serikali nchi nzima kwa siku 14 ili kuondoa watumishi hewa na wenye utambulisho danganyifu >>>Zoezi litajumuisha kuchukua alama za vidole na vyeti vya elimu ..

Wednesday, September 21, 2016

JINSI YA KUWEKA NAMBA ZA KAWAIDA NA ROMAN NAMBA  KWENYE MICROSOFT WORD DOKUMENTI

 

Thursday, September 15, 2016

MASHARTI YA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU TANZANIA YALEGEZWA

Tanzania Commission for Universities


SPECIAL ADMISSION ANNOUNCEMENT FOR HOLDERS
OF DIPLOMA (NTA LEVEL 6), AND FULL TECHNICIAN
CERTIFICATE (FTC) QUALIFICATIONS
RE: REVISED DECISION ON MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS
FOR UNDERGRADUATE STUDENTS


The Tanzania Commission for Universities (TCU) through the earlier public
notice issued on 11th July, 2016 notified the General Public and all Prospective
applicants for admission into various undergraduate degree programmes of
the Government’s decision to change the Procedures, Requirements and
Minimum Admission Entry Qualifications for Undergraduate Students for all
categories of applicants.
According to that notice, the Minimum Admission Entry Qualifications for
applicants with Ordinary Diploma (NTA Level 6) qualifications is at least four
O’-Level passes (Ds and above) or NVA Level III with less than four O’-Level
passes or equivalent foreign qualifications as established by either NECTA or
VETA; AND at least a GPA of 3.5. Whereas the Minimum Admission Entry
Qualifications for applicants with Full Technician Certificate (FTC)
qualifications is at least four O’-Level passes (Ds and above) or NVA Level III
with less than four O’-Level passes or equivalent foreign qualifications as
established by either NECTA or VETA; AND Average of B.
By this notice, the General Public and all applicants with Ordinary Diploma
and Full Technician Certificate (FTC) qualifications are hereby informed that
the earlier decision on the Minimum Admission Entry Qualifications for
applicants is hereby revised from GPA of 3.5 to 3.0 for holders of Ordinary
Diploma (NTA Level 6) and for FTC holders from an average of “B” to “C”.
2

In this context, TCU informs all applicants with Ordinary Diploma qualifications
with at least a GPA of 3.0 and holders of Full Technician Certificate (FTC) with
an average score of at least “C” that, they are now eligible to apply for
admission into various undergraduate degree programmes through the
Central Admission System (CAS).


Please note the following instructions:
1. Applicants who had previously applied through the National Council
for Technical Education (NACTE) and who meet the revised Minimum
Admission Entry Qualifications stated herein are not required to reapply.
2. Applicants who were yet to apply and who meet the revised Minimum
Admission Entry Qualifications stated herein are required to apply upon
payment of the prescribed admission fee through the prescribed
procedures spelt out in the Admissions Guidebook. The new applicants
are strongly advised to carefully read the Admissions Guidebook for
Holders of Ordinary Diploma or Equivalent Qualifications only.
3. The deadline for applications is 23rd September, 2016.

For further information or clarification please contact the Tanzania
Commission for Universities through the following:
Phone:+255 (0) 22 2772657
Hotlines: +255 (0) 683 921 928
+255 (0) 675 077 673
Fax: +255 (0) 22 277289
Email: es@tcu.go.tz

Issued by
The Executive Secretary
Tanzania Commission for Universities
15th September, 2016

Wednesday, September 14, 2016

VIDONGE HATARI

Epukana na vidonge hivi ni hatari sanaa:-
  • D-baridi
  • Vicks Action-500
  • Actified
  • Coldarin
  • Cosome
  • Nice
  • Nimulid
  • Cetrizet-D
      • Hivi vidonge vina Phenyl propanol-amide PPA ambayo husababisha stroke na ni marufuku Marekani. 
      • Maonyo muhimu ya afya
      1. Jibu (pokea) simu wito na sikio la kushoto
      2. Usinywe dawa zako zozote kwa maji baridii
      3. Usile milo mizito baada ya saa 11 jioni
      4. Kunywa maji vugu vugu mengi asubuhi na kwa kiasi usiku.Usinywe maji baridi kamwe
      5. Muda bora wa kulala ni kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 10 alfajiri.
      6. Usilale mapema baada ya kumeza dawa au baada ya mlo.Usiku kula chakula laini.
      7. Usipokee simu yako ikiwa haina chaji au ikiwa inachajiwa kwa kuwa wakati huo miyonzi inakuwa na nguvu mara 1000 ya kawaida yake.

SABABU NA KINGA DHIDI YA MAGONJWA YA FIGO

Raia wa ghana wanazidi kuangamia kwa matokeo ya ugonjwa wa FIGO.

JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO

  1. Usichelewe kwenda HAJA

        Kutunza mkojo kwenye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya.  Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu.Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.  Mara mkojo unaporudi nyuma husababisha maambukizi ya figo,pia njia ya mkojo na  'nephritis", pamoja na "uremia" wakati wito asili(unahisi mkojo)  fanya hivyo haraka  iwezekanavyo.

    2. Kula chumvi kupita kiasi.

    Yatupasa kula chumvi isiyozidi 5.8 gramu kwa siku.

    3. Kula nyama kupita kiasi

    Protini ikizidi sana katika mlo wako inadhuru figo zako.Mmeng'enyo wa protini unazalisha amonia-sumu dutu ambayo inauharibifu mkubwa kwa figo zako.Nyama nyingi inaleta uharibifu zaidi wa figo.

    4.Unywaji mwingi wa "Caffeins".

    Caffein hutokana na vinywaji vya soda na vinywaji vingine laini kama kahawa,Red Bull n.k. Hupadisha shinikizo la damu na figo zako kuanza mateso.Unapaswa kupunguza kiwango cha coke,pepsi.Red bull, n.k ambavyo hunywa kila siku.

    5.Kutokunywa maji. 

    Figo zetu lazima zichakatwe vizuri kutekeleza majukumu yake vizuri. Endapo hatunywi maji ya kutosha , sumu dutu inaweza kuanza kukusanyika katika damu, kama hakuna kimiminika cha kutosha kutoka kwa njia ya figo  Unashauriwa kunywa zaidi ya bilauri 10 za maji kwa siku.  Kuna njia rahisi kama unakunywa maji ya kutosha: Angalia rangi ya mkojo wako na wepesi wa rangi yake ndio vizuri na sio rangi iliyokolea sana

    6.Kuchelewa matibabu

    Tibu matatizo yako yote ya kiafya kwa uhakika na uwe unachunguza afya yako mara kwa mara.Wapendwa kinga ni bora kuliko tiba.

     

     

          

     

     

     

TUZO ZA PICHA ZA KIMATAIFA ZA SAYANSI 2016

Washindi wa tuzo za mwaka huu za picha za kimataifa za sayansi zinazotolewa na Royal Photographic Society wametangazwa.Na picha izo zitawekwa kwenye maonesho ya The Crystal uko mashariki ya London
Picha na Ian Cook

JUKWAA LA MASHOGA TIMU ZA EPL

Arsenal ndio timu pekee nchini uingereza iliyotoa Jukwaa Maalumu kwa ajili ya Mashoga. Wapo apo jukwaani kisheria na jina lao wanaitwa GAY GOONERS kama unavyoona kwenye iyo picha apo chini wakiwa uwanjani kwao Emirates kwenye jukwaa lao maalumu wakitazama timu yao.


BUNGENI DODOMA

 Naibu waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo asema wahitimu shahada za sayansi ambao si walimu kupatiwa mafunzo maalum wakafundishe na wale wa sanaa ambao hawajapata nafasi sekondari watafundisha shule za msingi.

RAIS BORA AFRIKA 2015

Raisi mstaafu wa Tanzania wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete atangazwa na gazeti la Sun Times nchini marekani kuwa rais bora wa Afrika kwa mwaka 2015

UHALISIA WA ASALI

KUPIMA UHALISIA WA ASALI KWA KUTUMIA SAHANI/KISOSI CHENYE MAJI
Wadau ili kupata faida za ASALI  kwa afya zetu ni muhimu kutumia ASALI HALISI.

Ni muhimu kujua jinsi ya kutambua ASALI HALISI, leo utaona njia rahisi sanaa ya kutambua
 Fuata mtiririko huu :-
  1. Chukua sahani au kisosi chenye rangi nyeupe(ili uweze kuona kwa urahisi)
  2.  Weka maji kwenye kisosi au sahani yako
  3.  Dondoshea asali katikati ya kisosi au sahani yako
  4.  ASALI HALISI itatulia kwenye kisosi na pia hata ukitingisha kisosi au sahani basi asali haitachanganyika na maji




Monday, September 12, 2016

MFUMO WA POINTI KLABU BINGWA ZA ULAYA


MOJA YA MATUMIZI YA ASALI

Wakati huu ambao watu wengi wanapata sana MAFUA NA KIKOHOZI usiende mbali dawa unayo karibu yako ...
Fuata hatua zifuatazo kutengeneza iyo dawa:-
  1. Chukua TANGAWIZI ambayo umeimenya kisha ponda ponda 
  2. Ichemshe kwenye maji kama chai kisha chuja kuondoa makapi ya tangawizi na weka kwenye kikombe cha chai
  3. Kisha ongeza ASALI angalau vijiko viwili kisha kunywa angalau mara mbili kwa siku.
Ni dawa nzuri sana ya MAFUA na KIKOHOZI