Fuata hatua zifuatazo kutengeneza iyo dawa:-
- Chukua TANGAWIZI ambayo umeimenya kisha ponda ponda
- Ichemshe kwenye maji kama chai kisha chuja kuondoa makapi ya tangawizi na weka kwenye kikombe cha chai
- Kisha ongeza ASALI angalau vijiko viwili kisha kunywa angalau mara mbili kwa siku.
No comments:
Post a Comment
KWA MSAADA ZAIDI NITAFUTE KWA SIMU NAMBA.. 0716784460