Monday, September 12, 2016

MFUMO WA POINTI KLABU BINGWA ZA ULAYA


MOJA YA MATUMIZI YA ASALI

Wakati huu ambao watu wengi wanapata sana MAFUA NA KIKOHOZI usiende mbali dawa unayo karibu yako ...
Fuata hatua zifuatazo kutengeneza iyo dawa:-
  1. Chukua TANGAWIZI ambayo umeimenya kisha ponda ponda 
  2. Ichemshe kwenye maji kama chai kisha chuja kuondoa makapi ya tangawizi na weka kwenye kikombe cha chai
  3. Kisha ongeza ASALI angalau vijiko viwili kisha kunywa angalau mara mbili kwa siku.
Ni dawa nzuri sana ya MAFUA na KIKOHOZI