- D-baridi
- Vicks Action-500
- Actified
- Coldarin
- Cosome
- Nice
- Nimulid
- Cetrizet-D
- Hivi vidonge vina Phenyl propanol-amide PPA ambayo husababisha stroke na ni marufuku Marekani.
- Maonyo muhimu ya afya
- Jibu (pokea) simu wito na sikio la kushoto
- Usinywe dawa zako zozote kwa maji baridii
- Usile milo mizito baada ya saa 11 jioni
- Kunywa maji vugu vugu mengi asubuhi na kwa kiasi usiku.Usinywe maji baridi kamwe
- Muda bora wa kulala ni kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 10 alfajiri.
- Usilale mapema baada ya kumeza dawa au baada ya mlo.Usiku kula chakula laini.
- Usipokee simu yako ikiwa haina chaji au ikiwa inachajiwa kwa kuwa wakati huo miyonzi inakuwa na nguvu mara 1000 ya kawaida yake.
Wednesday, September 14, 2016
VIDONGE HATARI
Epukana na vidonge hivi ni hatari sanaa:-
SABABU NA KINGA DHIDI YA MAGONJWA YA FIGO
Raia wa ghana wanazidi kuangamia kwa matokeo ya ugonjwa wa FIGO.
JINSI YA KUONDOKANA NA JANGA HATARI LA UGONJWA WA FIGO
Usichelewe kwenda HAJA
Kutunza mkojo kwenye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu.Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka. Mara mkojo unaporudi nyuma husababisha maambukizi ya figo,pia njia ya mkojo na 'nephritis", pamoja na "uremia" wakati wito asili(unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo.
2. Kula chumvi kupita kiasi.
Yatupasa kula chumvi isiyozidi 5.8 gramu kwa siku.
3. Kula nyama kupita kiasi.
Protini ikizidi sana katika mlo wako inadhuru figo zako.Mmeng'enyo wa protini unazalisha amonia-sumu dutu ambayo inauharibifu mkubwa kwa figo zako.Nyama nyingi inaleta uharibifu zaidi wa figo.
4.Unywaji mwingi wa "Caffeins".
Caffein hutokana na vinywaji vya soda na vinywaji vingine laini kama kahawa,Red Bull n.k. Hupadisha shinikizo la damu na figo zako kuanza mateso.Unapaswa kupunguza kiwango cha coke,pepsi.Red bull, n.k ambavyo hunywa kila siku.
5.Kutokunywa maji.
Figo zetu lazima zichakatwe vizuri kutekeleza majukumu yake vizuri. Endapo hatunywi maji ya kutosha , sumu dutu inaweza kuanza kukusanyika katika damu, kama hakuna kimiminika cha kutosha kutoka kwa njia ya figo Unashauriwa kunywa zaidi ya bilauri 10 za maji kwa siku. Kuna njia rahisi kama unakunywa maji ya kutosha: Angalia rangi ya mkojo wako na wepesi wa rangi yake ndio vizuri na sio rangi iliyokolea sana
6.Kuchelewa matibabu
Tibu matatizo yako yote ya kiafya kwa uhakika na uwe unachunguza afya yako mara kwa mara.Wapendwa kinga ni bora kuliko tiba.
TUZO ZA PICHA ZA KIMATAIFA ZA SAYANSI 2016
Washindi wa tuzo za mwaka huu za picha za kimataifa za sayansi zinazotolewa na Royal Photographic Society wametangazwa.Na picha izo zitawekwa kwenye maonesho ya The Crystal uko mashariki ya London
Picha na Ian Cook
JUKWAA LA MASHOGA TIMU ZA EPL
Arsenal ndio timu pekee nchini uingereza iliyotoa Jukwaa Maalumu kwa ajili ya Mashoga. Wapo apo jukwaani kisheria na jina lao wanaitwa GAY GOONERS kama unavyoona kwenye iyo picha apo chini wakiwa uwanjani kwao Emirates kwenye jukwaa lao maalumu wakitazama timu yao.
BUNGENI DODOMA
Naibu waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo asema wahitimu shahada za sayansi ambao si walimu kupatiwa mafunzo maalum wakafundishe na wale wa sanaa ambao hawajapata nafasi sekondari watafundisha shule za msingi.
RAIS BORA AFRIKA 2015
Raisi mstaafu wa Tanzania wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete atangazwa na gazeti la Sun Times nchini marekani kuwa rais bora wa Afrika kwa mwaka 2015
UHALISIA WA ASALI
KUPIMA UHALISIA WA ASALI KWA KUTUMIA SAHANI/KISOSI CHENYE MAJI
Wadau ili kupata faida za ASALI kwa afya zetu ni muhimu kutumia ASALI HALISI.
Ni muhimu kujua jinsi ya kutambua ASALI HALISI, leo utaona njia rahisi sanaa ya kutambua
Fuata mtiririko huu :-
Wadau ili kupata faida za ASALI kwa afya zetu ni muhimu kutumia ASALI HALISI.
Ni muhimu kujua jinsi ya kutambua ASALI HALISI, leo utaona njia rahisi sanaa ya kutambua
Fuata mtiririko huu :-
- Chukua sahani au kisosi chenye rangi nyeupe(ili uweze kuona kwa urahisi)
- Weka maji kwenye kisosi au sahani yako
- Dondoshea asali katikati ya kisosi au sahani yako
- ASALI HALISI itatulia kwenye kisosi na pia hata ukitingisha kisosi au sahani basi asali haitachanganyika na maji
Subscribe to:
Posts (Atom)