Wadau ili kupata faida za ASALI kwa afya zetu ni muhimu kutumia ASALI HALISI.
Ni muhimu kujua jinsi ya kutambua ASALI HALISI, leo utaona njia rahisi sanaa ya kutambua
Fuata mtiririko huu :-
- Chukua sahani au kisosi chenye rangi nyeupe(ili uweze kuona kwa urahisi)
- Weka maji kwenye kisosi au sahani yako
- Dondoshea asali katikati ya kisosi au sahani yako
- ASALI HALISI itatulia kwenye kisosi na pia hata ukitingisha kisosi au sahani basi asali haitachanganyika na maji
No comments:
Post a Comment
KWA MSAADA ZAIDI NITAFUTE KWA SIMU NAMBA.. 0716784460